SportsVIDEO:YANGA YAWACHAMBUA WAPINZANI WAO KIMATAIFA Saleh2 years ago2 years ago01 mins ALLY Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga ameweka wazi kuwa mchezo wao dhidi ya Marumo ya Afrika Kusini hautakuwa mwepesi hivyo wanafanya maandalizi mazuri kwa ajili ya kupata matokeo kwenye mchezo huo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Mei 10,2023. Post navigation Previous: DUBE MWAMBA KWELIKWELI UJUENext: MAKIPA BONGO MAKOSA MUHIMU KUFANYIA KAZI