
SINGINDA WAPOTEZA,YANGA UBINGWA WANUKIA
IKIWA Uwanja wa Liti, Singida Big Stars imeshuhudia pointi tatu zikisepa mazima kuelekea kwa wapinzani wao Yanga. Ubao umesoma Singida Big Stars 0-2 Yanga huku kazi ikimalizwa kipindi cha kwanza. Mabao ya Aziz KI na Clement Mzize yameipa Yanga pointi tatu na wanafikisha pointi 71 kibindoni wakielekea kutetea ubingwa wa ligi. Mchezo ujao dhidi ya…