IHEFU 0-0 SIMBA

Uwanja wa Highland Estate Mbeya unapigwa mchezo wa kiume katika msako wa pointi tatu muhimu. Ubao unasoma Ihefu 0-0 Simba huku kila timu ikifanya mashambulizi kwa zamu. Ihefu wanaonekana kuwa bora katika umiliki wa mpira na kufanya majaribio langoni mwa Simba ambapo amekaa Ally Salim. Simba wanamtumia Kibu Denis, Jean Baleke kufanya mashambulizi huku Ihefu…

Read More

HIKI HAPA KIKOSI CHA SIMBA DHIDI YA IHEFU

Kikosi cha Simba dhidi ya Ihefu mchezo wa Ligi Kuu Bara namna hii:- Ally Salim yupo langoni Israel Mwenda Gadiel Michael kapewa kitambaa cha unahodha Onyango Kennedy Juma Ismail Sawadogo Pape Sakho Mzamiru Yassin Jean Baleke Habib Kyombo Kibu Dennis Akiba ni Feruz Mwanuke,Kapama, Mkude, Bocco, Mohamed Mussa

Read More

BALEKE, CHAMA KWENYE KAZI NYINGINE

CLATOUS Chama, Jean Baleke na Saido Ntibanzokiza baada ya kutimiza majukumu yao kwenye mchezo wa hatua ya robo fainali wakishuhudia ubao wa Uwanja wa Azam Complex ukisoma Simba 5-1 Ihefu leo wana kazi nyingine kusaka ushindi. Mchezo wa leo ni wa ligi unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Highland Estate ikiwa ni mzunguko wa pili ule wa…

Read More

VIGOGO WAMEPATA TABU MBEYA

WAKATI leo Ihefu wakitarajiwa kumenyana na Simba kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara mzunguko wa pili rekodi zinaonyesha kuwa vigogo wengi wa Dar wamebuma kusepa na pointi tatu. Ihefu inayonolewa na Kocha Mkuu, John Simkoko na Zuberi Katwila ambaye ni msaidizi imekuwa na mwendo bora kwa mechi wanazocheza nyumbani. Yanga wao kete yao ya kutofungwa…

Read More

ZAWADI YA PASAKA HII HAPA

MBEYA City wamepoteza dhidi ya Namungo kwa kuacha pointi tatu mazima huku wakiwapa zawadi ya Pasaka mashabiki wao. Baada ya dakika 90 ubao umesoma Namungo 2-1 Mbeya City. Mabao ya Namungo yamefungwa na Jacob Masawe dakika ya 23, Shiza Kichuya dakika ya 74 na Mbeya City ni Abdulazak dakika ya 88. Hiyo ilipigwa Uwanja wa…

Read More

KAZI KIMATAIFA BADO IPO

KUPATA ushindi kwenye mechi za hatua ya makundi na kutinga hatua ya robo fainali hakika hili ni kubwa kwa timu zote ambazo zimefanikisha jambo hilo. Unaona kila mchezaji alikuwa anajituma kwenye mechi za nyumbani na ugenini katika kusaka ushindi na mwisho imekuwa hivyo. Mashindano ambayo yanafuatiliwa na watu wengi yameleta matokeo mazuri kwa kila timu…

Read More

LIVERPOOL NGOMA NZITO KWA ARSENAL

WAKIWA ndani yà Anfield Liverpool wamekubali kugawana pointi mojamoja na Arsenal ikiwa ni ngoma nzito kwa timu zote kusepa na poiti tatu. Baada ya dakika 90 ubao umesoma Liverpool 2-2 Arsenal huku kipindi cha kwanza kikiwa ni mali ya Arsenal na kile cha pili wenyeji walifanya kazi kubwa kusaka ushindi nakugotea kuongeza bao moja pekee….

Read More

CHELSEA WANALIPA MSHAHARA MKUBWA ILA TABU TUPU

CHELSEA wanapita kwenye kipindi kigumu huku wakiwa wanalipa mshahara mkubwa wachezaji wao. Hadi sasa wameondolewa kwenye mashindano yote mawili ya vikombe vya nyumbani. WANALIPA MISHAHARA MIKUBWA Chelsea ndio klabu ya pili kwa Premier League ambayo inalipa mishahara mikubwa kwa mwaka, wakitanguliwa na Manchester United. Kwa mujibu wa mtandao ambao unahusika na mishahara ya klabu za…

Read More

ZAWADI YA PASAKA KUTOLEWA LEO NAMNA HII

ZAWADI ya Pasaka kwa Wanaruagwa inatarajiwa kutolewa saa 3:00 usiku Uwanja wa Majaliwa. Msako wa pointi tatu kati ya Namungo dhidi ya Mbeya City hatma yake ni zawadi kwa mashabiki wao. Wakati Namungo ikishuka kusaka pointi tatu dhidi ya Mbeya City itakuwa imeshajua ilichotokea kwa mashabiki wa timu nyingine kipi watakuwa wamepewa. Ipo wazi kwamba…

Read More

SIMBA NDANI YA MBEYA KUIKABILI IHEFU

KIKOSI cha Simba kimewasili Mbeya kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Ihefu. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Highland Estate Mbeya Jumatatu, Aprili 9,2023. Simba imetoka kupata ushindi wa mabao 5-1 Ihefu kwenye mchezo wa hatua ya robo fainali na kutinga nusu fainali. Mchezo huo wa ligi utakuwa na ushindani mkubwa…

Read More

YANGA 0-0 GEITA GOLD

UBAO wa Uwanja wa Azam Complex mchezo wa hatua ya robo fainali Kombe la Azam Sports Federation ngoma ni nzito. Hakuna mbabe ambaye amepata bao la kuongoza ubao unasoma Yanga 0-0 Geita Gold. Moja ya mchezo ambao una ushindani mkubwa ambapo ni nyota Clement Mzize pekee ameonyeshwa kadi ya njano. Kadi hiyo imezua maswali kutokana…

Read More