SportsHIKI NDICHO WAMEFANYA MASTAA WA SIMBA DHIDI YA WAARABU Saleh2 years ago01 mins SIMBA imeondolewa hatua ya robo fainali kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kukubali kufungwa bao 1-0 ugenini na kufanya matokeo ya jumla kuwa 1-1 kwa kuwa Simba ilipata ushindi wa bao 1-0 Uwanja wa Mkapa. Post navigation Previous: HAYA NJOONI MJIFUNZE KWETU, SIMBA WAACHA GUMZO MOROCCONext: HAITAKUWA MWISHO MPAKA IGOTE MWISHO