MECHI DUME CITY NA ARSENAL INAPIGWA LEO
MECHI dume kabisa, mechi ya kibabe na mechi ya kibingwa inapigwa leo pale Dimba la Etihad, wana wanakwambia mshindi wa leo anaasilimia kubwa ya kuwa bingwa wa Premier League msimu huu. Leo Jumatano Manchester City chini ya Kocha Pep Guardiola itaikaribisha Arsenal kwenye Uwanja wa Etihad katika mchezo wa Ligi Kuu ya England ambao unatarajia…