KIKOSI CHA YANGA DHIDI YA RIVERS UNITED

UWANJA wa Godswill Akpabio nchini Nigeria, wawakilishi wa Tanzania, Yanga kwenye Kombe la Shirikisho Afrika watakuwa na kibarua cha kusaka ushindi mchezo wa robo fainali Kombe la Shirikisho Afrika.

Kikosi cha Yanga kitakachoanza kipo namna hii:-

Diarra Djigui

Djuma Shaban

Lomalisa

Bakari Mwamnyeto

Dickson Job

Bacca

Bangala

Farid Mussa

Fiston Mayele

Mudhathir Yahya

Aziz KI