SIMBA YAIBUKA NA USHINDI DHIDI YA WYDAD
KIWA Uwanja wa Mkapà klabu ya Simba imepata ushindi wa bao 1-0 Wydad Casablanca. Huu ni mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya robo fainali na bao limefungwa na Jean Baleke dakika ya 30. Licha ya kuwa na mabadiliko katika kikosi cha kwanza akianza Ally Salim langoni bado walikuwa na kushinda mchezo huo. Baleke…