SIMBA YAWATUNGUA YANGA KWA MKAPA
SIMBA imepata ushindi mbele ya Yanga kwenye mchezo wa Kariakoo ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu Bara. Mabao ya Simba yamefungwa na Henock Inonga dakika ya kwanza na lile la pili Kibu Dennis dakika ya 33. Yanga wanapiga pasi nyingi kuliskama lango la Simba huku wakifanya majaribio kupitia kwa Fiston Mayele. Kipindi cha pili Yanga…