
WAKALI WA PASI ZA MWISHO BONGO HAWA HAPA
KATIKA orodha ya mastaa wenye pasi nyingi za mabao kiungo wa Simba, Clatous Chama ni namba moja akiwa nazo 14 kibindoni. Moja kati ya pasi hizo alitoa katika mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya watani wa jadi Yanga, mzunguko wa kwanza Oktoba 23,2022. Kwenye mchezo huo ubao wa Uwanja wa Mkapa ulisoma Yanga 1-1…