HALI NI NGUMU KWELIKWELI TIMU ZIPAMBANE

KAZI ni ngumu wa kweli kwa sasa kutokana na ligi kuwa karibu na mwisho huku kila timu ikizidi kupambana kusaka ushndi ndani ya dakika 90. Hakika mwendelezo wa baadhi ya timu kwenye uwanja sio mzuri kutokana na matokeo ambayo wanayapata kuwa hayana a furaha kwao. Licha ya hayo kutokea ni muhimu kuzidi kuwa na mipango…

Read More

IHEFU FUPA GUMU KWA SIMBA

KLABU ya Ihefu yenye maskani yake Mbeya ndani ya dakika 270 katika mechi tatu tofauti imekwama kusepa na ushindi mbele ya Simba. Ilikuwa katika mchezo wa ligi uliochezwa Uwanja wa Mkapa ambapo ubao ulisoma Simba 1-0 Ihefu katika mchezo wa mzunguko wa pili ubao ulisoma Ihefu 2-0 Simba Uwanja wa Highland Estate. Katika msako wa…

Read More

KARIAKOO DABI INAHITAJI UMAKINI KWA WOTE

WIKIENDI hii shughuli zote za michezo zitasimama kupisha dakika tisini za machozi, jasho na damu ambapo wababe wa soka la Tanzania Simba na Yanga watashuka dimbani kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara mchezo ambao umebeba mambo mengi kuanzia ndani na nje ya uwanja. Ni mchezo ambao umebeba historia kubwa kwa watani hawa ambapo ni bora timu ikose…

Read More