MORRISON AWAVUTIA KASI GEITA GOLD

NYOTA  Bernard Morrison tayari yupo ndani ya uwanja wa mazoezi kwa ajili ya mchezo ujao dhidi ya Geita Gold baada ya kuwa nje kwa muda mrefu akipambania hali yake. Hakuwa sehemu ya kikosi kilichocheza hatua ya makundi na kutinga hatua ya robo fainali Kombe la Shirikisho kutokana na kutokuwa fiti. Yanga inayonolewa a Kocha Mkuu,…

Read More

SIMBA MIKONONI MWA MABINGWA CAF

WAKIWA na hesabu za kuvaana na Ihefu kesho mchezo wa Khatua ya robo fainali Azam Sports Fedration wameshatambua kigongo watakachokutana nacho kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika. Ni Wydad Athletic Club hawa watamenyana na Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Roberto Oliveira kwenye mchezo wa hatua ya robo fainali. Baada ya droo kuchezwa nchini Misri tayari Simba…

Read More