UWANJA wa TP Mazembe ubao unasoma TP Mazembe 0-0 Yanga ukiwa ni mchezo wa hatua ya makundi.
Yanga wametinga hatua ya robo fainali tayari wanapambana kumaliza nafasi ya kwanza hatua ya makundi.
TP Mazembe wao hawana cha kupoteza zaidi ya kutaka kulipa kisasi kwa mchezo ambao walipoteza Uwanja wa Mkapa ubao uliposoma Yanga 3-1 Yanga.