>

VITA NI KUWA, CHAMPIONSHIP INAWAHITAJI

VITA ni kubwa kwelikweli kwenye Championship kutokana na kila timu kupambana kupata matokeo mazuri ili kufikia malengo ambayo wamejiwekea. Hili ni muhimu kufanyika kwakila timu kuhakikisha kila kitu kinakwenda sawa na kwa wale ambao wamekata tamaa bado muda upo wakuzinuduka kwa sasa. Kutokana na kila timu kuwa na mpango wa kupanda ligi kunaongeza ushindani na…

Read More

AZAM FC KAZI INAENDELEA

BAADA ya ushindi kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya KMC mpango kazi kwa Azam FC ni mchezo wao wa Azam Sports Federation hatua ya robo fainali. Timu hiyo iliibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya KMC kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Azam Complex ilikuwa Machi 27. Kete yake inayofuata kwenye mechi za mashindano ni…

Read More

MESSI AFANYA KWELI ARGENTINA

TIMU ya taifa ya Argentina inayonolewa na Kocha Mkuu,Lionel Scaloni imeibuka na ushindi wa mabao 7-0 Curacao. Ni mchezo wa kirafiki uliochezwa Uwanja wa Unico Madre de Ciudades. Katika mchezo huo Lionel Messi ambaye ni nahodha alitupia kambani mabao matatu ilikuwa dakika ya 20,33,37. Nicolas Gonzalez dakika ya 23,Enzo Fernandez dakika ya 35,Angel Di Maria…

Read More

JESUS MOLOKO MIKONONI MWA MABOSI YANGA

MIONGONI mwa nyota ambao wanatajwa kuongezewa kandarasi ndani ya kikosi cha Yanga ni winga teleza Jesus Moloko. Nyota huyo mkataba wake unatarajiwa kugota mwisho mwa msimu huu jambo amalo limewafanya mabosi wa Yanga kuanza mazungumzo naye. Moloko inatajwa kuwa hakuongezewa mkataba kwa mpango kazi maalumu kisha wakamleta Tuisila Kisinda ambaye hajaonyesha ubora wake. “Moloko hakupewa…

Read More