>

HIKI HAPA KIKOSI CHA STARS DHIDI YA UGANDA

UWANJA wa Suez Canal huko Ismailia Misri saa 11:00 jioni Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars ina kibarua cha kusaka ushindi dhidi ya Uganda.

Huu ni mchezo wa kuwania tiketi ya kufuzu Afcon 2023 kikosi hiki hapa kinachotarajiwa kuanza:-

Aishi Manula

Dickson Job

Novatus Dismas

Bakari Mwamnyeto
Ibrahim Bacca

Himid Mao

Simon Msuva

Mzamiru Yassin

Mudhathir

Mbwana Samatta

Said Khamis