
VIDEO: CHEKI TIZI LA MASTAA STARS
CHEKI mastaa wa Stars wakifanya matizi kwa ajili ya mchezo dhidi ya Uganda
CHEKI mastaa wa Stars wakifanya matizi kwa ajili ya mchezo dhidi ya Uganda
BARCELONA inaongoza La Liga ikiwa imekusanya pointi 68 baada ya kucheza mechi 26. Wanaofuata ni Real Madrid hawa nafasi ya pili na pointi zao kibindoni ni 56 wamecheza mechi 26. Mchezo wao walipokutana Uwanja wa Camp Nou Jumapili ya Machi 19, ubao ulisoma Barcelona 2-1 Real Madrid. Ni Sergi Roberto dakika ya 45 na Franck…
BAADA ya Desemba 22,2022 ubao wa Uwanja wa Mkapa kusoma Simba Queens 1-1 Yanga Princes kesho kazi inatarajiwa kuwa nzito. Machi 22 kwa mara nyingine tena mchezo wa Dabi ya Kariakoo unatarajiwa kufanyika kwenye Uwanja wa Uhuru. Unakuwa ni mchezo wa mzunguko wa pili kwa watani hao kukutana ndani ya Ligi ya Wanawake Tanzania. Yanga…
KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi, amefunguka kuwa, sababu kubwa iliyopelekea kufanikiwa kuibuka na ushindi dhidi ya Waarabu, US Monastir, ni kutokana na kupata muda wa kutosha kuwasoma wapinzani wake hao. Nabi ametoa kauli hiyo kufuatia Yanga kufuzu hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0…
UONGOZI wa Simba, umeweka wazi kuwa mitambo yao yote ya kazi katika kikosi hicho akiwemo Clatous Chama na Saidi Ntibazonkiza ‘Saido’ ina kazi maalumu ya kufanya kuelekea mchezo wa ugenini dhidi ya Raja Casablanca. Katika Kundi C la Ligi ya Mabingwa Afrika, Raja ni vinara wakiwa na pointi 13, kwenye mechi tano ambazo wamecheza hawajapoteza…
BAADA ya kufanikiwa kufuzu hatua ya Robo Fainali ya Kombe la Shiriko Afrika, uongozi wa Yanga umeibuka na kutamka kuwa levo ambazo wanazo, wao sio wa kuihofia timu yoyote. Kauli hiyo imekuja mara baada ya Yanga kuwafunga mabao 2-0 US Monastir ya Tunisia katika mchezo wa tano wa Kundi D kunako Kombe la Shirikisho Afrika…
TAYARI kikosi cha timu ya taifa, Taifa Stars ambacho kitaivaa Uganda katika mechi ya kuwania kucheza AFCON siku chache zijazo, kimeanza maandalizi. Chini ya Kocha Msaidizi, Hemed Morocco, Taifa Stars imeanza mazoezi ya gym na uwanjani huku kocha mpya wa viungo na wataalamu wa masuala ya video wakiwa wamejiunga na kuanza kazi na kikosi hicho….
Sloti ya Deuces Wild Poker Habari njema kwa wapenda kasino, kama uliwahi kucheza michezo hii ya sloti Aviator, Poker, Roulette kutoka kasino ya mtandaoni ya Meridianbet, basi huu mwingine hutataka ukupite kati ya michezo rahisi kabisa kucheza na kupiga mtonyo mrefu na bonasi kibao ni Sloti ya Deuces Wild Poker kwa jina rahisi ni mchezo…