BEKI MTIBWA SUGAR KUPUMZISHWA SHINYANGA

IDDY Mobby aliyekuwa beki wa Mtibwa Sugar baada ya kutangulia mbele za haki mwili wake umepelekwa leo Machi 6,2023 nyumbani kwao mkoani Shinyanga. Maziko yanatarajiwa kufanyika kesho Machi 07, 2023. Beki huyo ambaye amewahi kucheza Polisi Tanzania alipokuwa ni nahodha taarifa za kutangulia mbele za haki zilitolewa Machi 5. Alikutwa na umauti alipokuwa akipatiwa matibabu….

Read More

SIMBA:VIPERS HATOKI SALAMA KWA MKAPA

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa mashabiki ni muhimu kwenye mchezo wao dhidi ya Vipers ambao ni Ligi ya Mabingwa Afrika. Simba ina kibarua cha kusaka pointi tatu dhidi ya Vipers unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba, Ahmed Ally amesema kuwa kila mtu atatimiza wajibu wake kupata ushindi…

Read More

YACOUBA ATWAA TUZO YA MCHEZAJI BORA

NYOTA Yacouba Songne amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Februari ndani ya Ligi Kuu Tanzania Bara. Yacouba kwa sasa yupo ndani ya Ihefu ambapo aliibuka hapo akitokea kikosi cha Yanga ambapo alisitisha mkataba wake. Ni Meddie Kagere wa Singida Big Stars na Elias Maguli wa Geita Gold hawa alikuwa nao kwenye fainali wakishindania tuzo hiyo….

Read More

WIKI YATIMIA KWA MANCHESTER UNITED

LIVERPOOL hawakuwa na huruma kwenye mchezo wa Ligi Kuu England baada ya kushinda jumla ya mabao 7 huku wakisepa na pointi tatu mazima. Ni Cody Gakpo alitupia kambani mabao mawili dakika ya 43 na 50, Darwin Nunez pia alitupia kambani mbili dakika ya 47 na 75. Mohamed Salah alitupia mawili dakika ya 66 na 83…

Read More