TANZANIA:NYOTA MTIBWA SUGAR ATANGULIA MBELE ZA HAKI

TAARIFA za awali zinaeleza kuwa nyota wa wa Mtibwa Sugar yenye maskani yake Morogoro, Iddy Mobby ametangulia mbele za haki. Mobby amekamilisha mwendo akiwa kwenye matibabu kwenye Hospital ya Mkapa iliyopo mkoani Dodoma alipohamishiwa baada ya matibabu ya awali kwenye Hospital ya kiwanda. Inaarifiwa kwa mujibu wa watu wa karibu na Mtibwa ni kuwa beki…

Read More

AZAM FC KWENYE KAZI DHIDI YA MAPINDUZI

AZAM FC leo ina kibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo wa 16 bora ASFC unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Azam Complex. Itakuwa ni dhidi ya Mapinduzi saa 1:00 usiku ambapo mshindi atatinga hatua ya rob fainali. Miongoni mwa wachezaji ambao wapo tayari kwa mchezo huo ni pamoja na Abdul Suleiman, ‘Sopu’, Prince Dube,Sospeter Bajana. Kwa mujibu…

Read More

HUYU HAPA KOCHA MPYA STARS

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limemtangaza Adel Amrouche kuwa Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa, Taifa Stars. Amrouche ni raia wa Ubelgiji mwenye asili ya Algeria, ana uzoefu mkubwa wa soka la Afrika. Amewahi kufundisha ukanda wa Afrika Mashariki ikiwa ni pamoja na Kenya pamoja na Ukanda wa Kusini Mashariki, Kati na Kaskazini. Amewahi kuwa…

Read More

KMC MAJANGA, MTIBWA IHEFU ZAPETA

WAKIWA Uwanja wa Manungu, Mtibwa Sugar wamekata tiketi ya kutinga hatua ya robo fainali ya Kombe la Azam Sports Federation. Ni ushindi wa bao 1-0 ambao walipata huku mtupiaji akiwa ni David Kameta, ‘Duchu’ dakika ya 45 kwa mkwaju wa penalti uliowandoa mazima KMC kwenye mashindano. KMC hawana bahati pia kwenye mashindano haya kwa kuwa…

Read More

NAMUNGO WAIVUTIA KASI TANZANIA PRISONS

KIKOSI cha Namungo kwa sasa kipo kwenye maandalizi ya mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Tanzania Prisons. Mchezo huo ni wa mzunguko wa pili unatarajiwa kuchezwa Machi 11, Uwanja wa Majaliwa, Lindi. Wachezaji wa timu hiyo wanaendelea na mazoezi kuikaili Prisons yeye maskani yake Mbeya. Miongoni mwa mastaa hao ni pamoja na Shiza…

Read More