
YANGA YAWAITA MASHABIKI KUHUSHUDIA MABAO KIMATAIFA
KUELEKEA kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika hatua ya Makundi kesho Februari 19,2023 uongozi wa Yanga umewaomba mashabiki kujitokeza kwa wingi. Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi ina kibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo huo wa kimataifa wa pili wakiwa wametoka kupata maumivu kwenye mchezo wa kwanza ugenini. Ni US Monastir 2-0 Yanga…