MANCHESTER UNITED YATWAA CARABAO

KOMBE la Carabao mikononi mwa Manchester United baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Newcastle United

Casemiro alianza kufunga dakika ya 33 na nyota Steven Batman alijifunga dakika ya 39.

Mastaa wa Manchester united wamejawa na furaha tele kwa kutwaa taji hilo ambalo ni kubwa kwao.

Nahodha Harry Maguire amekabidhwa taji hilo kwenye mchezo uliochezwa uwanja wa Wemble