AZAM FC YAANZA MATIZI KUMVUTIA KASI MNYAMA
KIKOSI cha Azam FC kimeanza maandalizi kwa ajili ya mchezo wao ujao wa Ligi Kuu Bara. Timu hiyo imetoka kupoteza mchezo wake uliopita kwa kushuhudia ubao wa Uwanja wa Jamhuri,Dodoma ukisoma Dodoma Jiji 2-1 Azam FC. Februari 21,2023 saa 1:00 usiku Azam FC itakuwa kwenye kibarua cha kusaka pointi tatu dhidi ya Simba. Katika mchezo…