ISHU YA UZINDUZI WA JEZI YA KIMATAIFA SIMBA WATAMBA
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa uzi mpya ambao wameuzindua leo kwa ajili ya mechi za kimatifa ni bora na utaitangaza Tanzania kwenye anga la kimataifa. Mtendaji Mkuu wa Simba Iman Kajuna amesema kuwa wanatambua kuwa Tanzania kwenye sekta ya utalii inafanya vizuri hivyo kuongeza nguvu kwenye kuitangaza kutaifanya izidi kufanya vizuri zaizi na zaidi….