LIGI KUU TANZANIA BARA KUKIWASHA LEO

FEBRUARI 6,2023 Ligi Kuu Tanzania Bara inatarajiwa kuendelea leo kwa timu kusaka pointi tatu muhimu.

Ni Polisi Tanzania watakuwa Uwanja wa Ushirika Moshi wakimenyana na Kagera Sugar ndani ya dakika 90.

Polisi Tanzania imekusanya pointi 15 kibindoni baada ya kucheza mechi 21 huku Kagera Sugar wakiwa wamekusanya pointi 25 kibindoni.

Mchezo huo unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kwa timu zote mbili ambazo zinasaka pointi tatu ndani ya dakika 90.