MANULA KATUNGULIWA SIMBA IKISEPA NA POINTI TATU
KIUNGO wa Simba Pape Sakho amefunga bonge moja ya bao dhidi ya Singida Big Stars dakika ya 63. Bao hilo linafanya ubao wa Uwanja wa Mkapa kusoma Simba 3-1 Singida Big Stars. Mabao mawili ya awali kwa Simba ni mali ya Jean Baleke aliyepachika bao mapema dakika ya 8 na lile la pili ni mali…