
SIMBA YAIVUTIA KASI SINGIDA BIG STARS
BAADA ya kumalizana na Coastal Union kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho kituo kinachofuata kwa Simba ni dhidi ya Singida ig Stars. Leo Februari Mosi 2023 kikosi cha Simba kimefanya mazoezi kwa ajili ya kuelekea kwenye mchezo huo unaotarajiwa kuchezwa Ijumaa. Februari 3 utakuwa ni mchezo wa kwanza kwa Simba ndani ya mwezi mpya 2023…