
SIMBA KAMILI KUIVAA COASTAL UNION
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa wachezaji wote wa timu hiyo wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Coastal Union. Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano ndani ya kikosi cha Simba, Ahmed Ally amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo huo. Ni Januari 28,2023 ambayo ni Jumamosi utapigwa…