LILE PIRA DUBAI LA SAMBA LOKETO LILIPIGWA NA NYUNDO
ILIKUWA mwendo wa msako wa pointi tatu kwa timu zote mbili ambazo msimu wa 2022/23 zimekuwa zikionyeshana ubabe haswa ndani ya dakika 90. Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Roberto Oliviera iliyotamba kuja na pira Samba Loketo liligongwa nyundo kinomanoma na Mbeya City inayonolewa na Adallah Mubinu. Mchezo wa fungua mwaka 2023 kwa Simba na mchezo…