SIMBA imepata sare ya kufungana mabao 2-2 dhidi ya CSKA Moscow nchini Dubai kwenye mchezo wa kirafiki.
Dakika 45 za mwanzo Simba ilikuwa imefungwa mabao hayo mawili.
Kipindi cha pili walifanya kazi kubwa kusaka ushindi lakini wakagotea kwenye sare hiyo.
Mabao yote ya Simba yamefungwa na mzawa Habib Kyombo.