ISHU YA FEISAL NA YANGA IMEFIKIA HAPA

KAMATI ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imeamua kuwa Feisal Salum bado ni mchezaji wa Yanga kwa mujibu wa mkataba Taarifa hiyo imetolewa leo Januari 7,2023 na TFF baada ya jana Januari 6,2023 shauri hilo kusikilizwa makao makuu ya TFF. Kwenye taarifa hiyo imeeleza kuwa uamuzi kwa…

Read More

SIMBA YAKWEA PIPA, BANDA,NTIBANZOKIZA NDANI

NYOTA wa Simba Peter Banda tayari amerejea kwenye ubora wake akiwa ni miongoni mwa mastaa waliokwea pipa kuelekea Dubai. Kikosi hicho kimepata mualiko maalumu kutoka kwa Rais wa Heshima Mohamed Dewji ambapo kitaweka kambi kwa muda wa siku 7. Wengine ambao wapo kwenye kikosi hicho ni pamoja na Said Ntibanzokiza, Sadio Kanoute huku Moses Phiri…

Read More

YANGA WAFANYA HAFLA NA MATAJI YAO,WAREJEA DAR

UONGOZI wa Yanga chini ya Rais Eng Hersi Said, Benchi la ufundi na wachezaji leo Januari 7 2023 wamemtembelea Mama Fatma Karume pamoja na wajumbe wa Bodi ya Wadhamini na kuwakabidhi makombe manne waliyoshinda mwaka 2022. Hafla hiyo imefanyika nyumbani kwa Mama Fatma Karume, maeneo ya Maisara, Zanzibar 2023. Kikosi cha Yanga kilikuwa Zanzibar kwa…

Read More

SIMBA KUKWEA PIPA KUIBUKIA DUBAI

BAADA ya kuvuliwa ubingwa wa Kombe la Mapinduzi na kurejea Dar kikosi cha Simba kinatarajia kukwea pipa leo Januari 7,2022 kuelekea Dubai. Kikosi hicho kwenye mechi mbili za hatua ya makundi ambapo kilikuwa kinasaka pointi sita kiliambulia pointi tatu. Mchezo wa kwanza ubao wa Uwanja wa Amaan ulisoma Simba 0-1 Mlandege ambao wametinga hatua ya…

Read More

YANGA OUT KOMBE LA MAPINDUZI

MWENDO wa Yanga kwenye Kombe la Mapinduzi 2023 umegota mwisho baada ya kuambulia sare ya kufungana bao 1-1 dhidi ya Singida Big Stars. Yanga ambayo ipo kundi B la Mapinduzi 2023 ilikuwa inahitaji ushindi ili kusonga mbele katika hatua ya nusu fainali lakini haikuwa hivyo kwani hata Singida Big Stars nao walikuwa wanahitaji ushindi. Mabao…

Read More