CHUMA HIKI HAPA KINAFUATA KUTAMBULISHWA YANGA

INAELEZWA kuwa nyota anayefuatwa kutambulishwa ndani ya kikosi cha Yanga ni beki wa kazi mzawa Dickosn Job. Nyota huyo mkataba wake unakaribia kufika ukingoni ambapo mwisho wa msimu huu utakuwa umegota mwisho. Habari zinaeleza kuwa tayari viongozi wa Yanga pamoja na wale ambao wanamsimamia Job wamefanya mazungumzo na kufika kwenye maelewano mazuri. Job ni chaguo…

Read More

SOPU:USHINDI NI ZAWADI KWA MASHABIKI

ABDUL Suleiman, ‘Sopu’ kiungo mshambuliaji wa Azam FC amesema ushindi ambao wameupata mbele ya Jamhuri ni zawadi kwa mashabiki. Januari 5,2023 Azam FC ilipata ushindi wake kwenye mchezo wa Kombe la Mapinduzi dhidi ya Jamhuri. Sopu kwenye mchezo huo alitupia mabao mawili na kuchaguliwa kuwa nyota wa mchezo huo. Timu hiyo inatinga hatua inayofuata ya…

Read More

KOCHA JUMA MGUNDA AKIRI ALITELEZA

JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa aliteleza kwenye maelezo wakati akizingumza kuhusu suala la kutetea ubingwa wa timu hiyo. Kwenye mchezo wa ufunguzi dhidi ya Mlandege, Simba ilipoteza kwa kufungwa bao 1-0 na kuvuliwa ubingwa, alipohojiwa na mwandishi kuhusu matumaini ya kutetea taji hilo alibainisha bado yapo kwa kuwa wana mechi mbili. Jamo…

Read More

YANGA V SINGIDA BIG STARS KUKIWASHA

CEDRICK Kaze, kocha msaidizi wa Yanga ameweka wazi kuwa mchezo wao dhidi ya Singida Big Stars hautakuwa mwepesi hivyo wataingia kwa nidhamu. Ni mchezo wa pili kwenye Kombe la Mapinduzi Yanga watacheza leo Januari 6,2023 baada ya ule wa kwanza kukamilisha kwa ushindi. Katika mchezo wa ufunguzi Yanga ambayo inamtumia Yacouba Songne kwenye mashindano hayo…

Read More

MWAMBA HUYU HAPA MFUNGAJI WA BAO LA KWANZA SIMBA

LIKUMBUKE hili jina la Michael Joseph nyota wa kikosi cha Simba kutoka timu B anakuwa wa kwanza kufunga bao ndani ya timu hiyo kwa mwaka 2023. Ni kwenye Kombe la Mapinduzi 2023 ambapo Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Juma Mgunda imevuliwa mazima ubingwa wao. Kwenye mchezo wa kwanza ubao ulisoma Simba 1-0 Mlandege jambo lililoyeyusha…

Read More