SLOTI YA EXPANSE KASINO NA MERIDIANBET USHINDI MKONONI MWAKO!!

 

Mwezi Januari ni maarufu sana kuwa ni mwezi dume, una mambo mengi mara ulipe ada, unadaiwa kodi ya nyumba, biashara yako imeyumba, huna mtaji usiwaze mtu wangu wa nguvu, huu hapa mchongo wa kulainisha Januari yako kutoka Meridianbet ambao wana Sloti bomba kwa ajili yako.

Meridianbet wanaelewa ugumu uliopo kwenye mwezi huu dume na ndio maana wamekuletea Promosheni kabambe ya EXPANSE KASINO itakayokupa nafasi ya kujishindia mkwanja mrefu wa TZS 800,000/= kwenye michezo mingi ya kasino mtandaoni ya Meridianbet.

Jinsi ya Kushiriki kwenye Promosheni hii

Ni rahisi sana wala huhitaji kutumia nguvu kubwa, ni kama kumsukuma mlevi vile hata kwa kutumia kidole anasogea tu. Cha kufanya zingatia yafuatayo ili kuwa moja ya wachezaji wazuri wa Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet:

  • Orodha ya nafasi iko ndani ya mchezo na itaonekana saa 24 baada ya mwisho wa mashindano.
  • Kulingana na orodha ya mwisho ya nafasi, wachezaji 5 walioshika nafasi za juu watatunukiwa bonasi za kasino katika viwango vifuatavyo:
  • 1. Nafasi ya Kwanza 250,000 TZS
  • 2. Nafasi ya Pili 200,000 TZS
  • 3. Nafasi ya Tatu 150,000 TZS
  • 4. Nafasi ya nne 100,000 TZS
  • 5. Nafasi ya Tano 100,000 TZS
  • Ili bonasi ya kasino iliyokabidhiwa ihamishwe kwa akaunti ya pesa ya mchezaji, ni muhimu kuiwekeza mara 30 kwenye mchezo wowote wa yanayopangwa wa mtoa huduma wa Expanse. Ushindi wa juu unaoweza kutolewa ni 500,000TZS.
  • Ofa hii ni halali kwa kila mtumiaji, anwani ya IP na kaya.
  • Kwa kusajili akaunti, wachezaji wanakubali sheria na masharti yote ya ofa.
  • Meridian inahifadhi haki ya kubadilisha sheria za ofa wakati wowote, na pia kusitisha ofa.
  • Sheria na Vigezo Kuzingatiwa.