>

YANGA KUIKABILI SINGIDA BIG STARS

KIKOSI cha Yanga kesho kina kibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo wa pili wa Kombe la Mapinduzi dhidi ya Singida Big Stars. Katika mchezo wa kwanza wa mwaka 2023 Yanga ilisepa na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya KMKM. Mchezo huo ulichezwa Uwanja wa Amaan, Zanzibar ambapo dakika 90 zilikuwa ngumu kwa timu zote mpaka…

Read More

CHELSEA VS MAN CITY… UBABE UBABE TU

VITA kali leo Alhamisi itakuwa pale darajani ambapo miamba miwili ya soka itavaana kila mmoja akiwa na machungu yake baada ya kuanza mwaka vibaya. Huu utakuwa ni mchezo wa Premier League kati ya Chelsea na Manchester City ambao walianza mwaka 2023 kwa kupoteza pointi mbili kila mmoja ndani ya ligi hiyo. Mchezo utapigwa katika Uwanja…

Read More

SIMBA V PRISONS… HAPPY NEW YEAR 2023, ASANTE 2022

HAPPY New year 2023 na asante 2022, ilikuwa ni kazi iliyofanyika kwa vitendo ndani ya Uwanja wa Mkapa, Dar, uliosoma Simba 7-1 Tanzania Prisons, juzi Ijumaa ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu Bara. Hapa Spoti Xtra linakuletea baadhi ya kazi nzito zilizofanywa na wachezaji kwenye msako wa pointi tatu. AISHI MANULA Ilikuwa ni funga mwaka…

Read More

MUDATHIR ATANGAZA HALI YA HATARI YANGA

MARA baada ya kutambulishwa Yanga, kiungo mkabaji, Mudathir Yahya, amesema malengo yake ya kwanza ni kupambania namba ili aingie katika kikosi cha kwanza. Kiungo huyo ni mchezaji wa kwanza kusajiliwa na Yanga katika dirisha hili dogo la usajili lililofunguliwa Desemba 16, 2022 na kutarajiwa kufungwa Januari 15, 2023. Mudathir ana kibarua kigumu cha kuwania namba…

Read More

MBRAZIL AIFUMUA SIMBA, AWAWEKA MTEGONI MASTAA

KOCHA Mkuu mpya wa Simba, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ raia wa Brazil, amewaweka mtegoni mastaa wa kikosi hicho, baada ya kuweka wazi kwamba, mkakati wake wa kwanza ni kumpa nafasi kila mmoja kuonesha uwezo wake, ili kuwafahamu nyota wote na kuandaa kikosi cha kwanza. Juzi Jumanne, Robertinho alitangazwa rasmi kuwa kocha mkuu wa Simba akichukua nafasi…

Read More

BOSI SIMBA AMKATAA BOBOSI KISA YANGA

MENEJA wa Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally amefunguka na kusema kuwa katika dirisha hili dogo la usajili hawana mpango wa kumsajili aliyekua kiungo wa Klabu ya Vipers, Bobosi Byaruhanga. Akizungumza na Spoti Xtra, Ally alifunguka: ” Tunatarajia kuongea nguvu katika eneo la kiungo mkabaji ambaye atatusaidia kutimiza malengo yetu msimu huu. “Hatuwezi kumsajili Bobosi…

Read More

MASTAA YANGA WAPEWA MAAGIZO NA NABI

KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi amewapa maagizo mazito wachezaji wa timu hiyo ikiwa ni pamoja na Fiston Mayele, Aziz KI, Khalid Aucho na Dickson Job wakati huu wa mapumziko. Nyota hao ni miongoni mwa wale ambao watakosekana kwenye Kombe la Mapinduzi 2023 visiwani Zanzibar. Meneja wa Yanga,Walter Harrison amesema kuwa wachezaji wote wapo tayari…

Read More

YANGA WAKIWASHA KOMBE LA MAPINDUZI USIKU KABISA

WAKATI watani zao wa jadi Simba wakifungua mwaka 2023 kwa kunyooshwa na Mlandege kwenye Kombe la Mapinduzi, Yanga wao wameanza kwa ushindi. Katika mchezo wa ufunguzi dhidi ya KMKM uliochezwa Uwanja wa Amaan ubao uligoma kubadilika katika dakika 90 za kawaida. Ilibidi Yanga wasubiri mpaka dakika ya 90+5 na kupata bao la ushindi kupitia kwa…

Read More