
TEPSI NDANI YA STARS, KIM ATOA NENO
TEPSI Evance, kiungo wa Klabu ya Azam FC amejumuishwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars ambacho kimeanza maandalizi kwa ajili ya mchezo dhidi ya Uganda wa kuwania kufuzu CHAN unaotarajiwa kuchezwa Agosti 28,2022. Nyota huyo kwenye mechi mbili za ligi amefunga mabao mawili na kutoa pasi moja ya bao. Stars imeingia…