
KISIKI YAKWAA BARCELONA KUMNASA KIUNGO CITY
PEP Guardiola, Kocha Mkuu wa Manchester City amebainisha kuwa kiungo Bernardo Silva hatajiunga na Barcelona kwa sababu mpaka sasa hakuna mbadala wake. Kocha huyo amebainisha kuwa mchezaji huyo ni kiungo wa kipekee ndani ya timu hiyo inayoshiriki Ligi Kuu England hivyo timu hiyo inakutana na kisiki kupata saini ya mwamba Silva. Nyota Silva alikuwa kwenye…