
AZAM FC:UWANJA WA KARUME UNA HALI MBAYA
UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi kwamba hesabu kubwa kwa sasa ni kuelekea kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Biashara United unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Karume, Mara huku tatizo kubwa likitajwa kuwa ni ubora wa uwanja. Ofisa Habari wa Azam FC, Zakaria Thabit amesema kuwa tatizo kubwa waliloliona kwa sasa ni Uwanja wa…