
YANGA YATAJA MABAO ITAKAYOIFUNGA SIMBA
KUELEKEA mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuchezwa leo kati ya Yanga v Simba, vinara wa Ligi Kuu Bara, wametaja idadi ya mabao ambayo wanaamini watashinda. Vinara wa ligi ni Yanga wenye pointi 54 na wamecheza mechi 20 wanafuatiwa na Simba ambao ni mabingwa watetezi wakiwa na pointi 41 baada ya kucheza mechi 19. Ni…