
VINARA WA LIGI KUU BARA NDANI YA MTWARA
BAADA ya ushindi ambao wameupata mbele ya Tanzania Prisons kikosi hicho kimeibukia Mtwara. Yanga ilipata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Tanzania Prisons mtupiaji akiwa ni Feisal Salum dakika ya 89 na kuipa ushindi timu hiyo. Sasa Yanga ni vinara wa ligi wakiwa wamecheza mechi 14 n kibindoni wana pointi 35 wanakutana na Namungo ambayo…