SIMBA QUEENS YAGAWANA POINTI NA YANGA PRINCESS
NYOTA Vivian Corazone Aquino ambaye alianza kusugua benchi kwenye dabi ya Wanawake limetosha kuipa pointi moja Simba Queens ilikuwa dakika ya 59. Baada ya dakika 90 kukamilika kwenye mchezo wa leo Desemba 22,2022 ubao wa Uwanja wa Mkapa ulisoma Simba Queens 1-1 Yanga Princess. Vivian aliweka mzani sawa kipindi cha pili na kufuta bao matata…