HIZI HAPA TIMU ZITAKAZOMENYANA HATUA YA RAUNDI YA PILI

JANA droo ya raundi ya Pili ya Kombe la Azam Sports Federation Cup ilichezwa ambapo mabingwa watetezi wa taji hilo Yanga waliwatambua wapinzani wao. Mechi hizo zinatarajiwa kuanza kuchezwa Disemba 9-11, 2022 ambapo Yanga itamenyana na  Kurugenzi FC kwa upade wa watani zao wa jadi Simba  wao watamenyana na Eagle. Kwa upande wa Azam FC wao…

Read More

TUNISIA SAFARI IMEWAKUTA LICHA YA KUSHINDA

LICHA ya timu ya taifa ya Tunisia kutoka Afrika kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Ufaransa kwenye mchezo wa makundi Kombe la Dunia, Qatar 2022 safari yao imegota ukingoni. Mchezo huo uliokuwa na ushindani mkubwa, Ufaransa walianzisha wachezaji wake wengi nyota benchi kwa kuwa inaonekana kuwa mbinu ya benchi la ufundi ilikuwa ni kuwapumzisha…

Read More