>

YANGA MIKONONI MWA IHEFU

BAADA ya kusepa na pointi tatu mbele ya Mbeya City,Novemba 26,2022 Uwanja wa Mkapa kituo kinachofuata ni Highland Estate. Yanga ilishinda mabao 2-0 dhidi ya Mbeya City na mtupiaji wa mabao yote mawili alikuwa ni Fiston Mayele ambaye anafikisha mabao 10. Mayele alipachika bao la uongozi kwa pasi ya Khalid Aucho na lile bao la…

Read More

GHANA WAUPIGA MWINGI WAWAPA TABU WAKOREA

GHANA imeibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Korea Kusini kwenye mchezo wa Kombe la Dunia ambao unatajwa kuwa mmoja ya mchezo bora kutokea mwaka huu 2022 Qatar. Nyota wa Ghana mwenye miaka 22 na siku 118 , Mohammed Kudus anakuwa staa wa pili kutoka Afrika mwenye umri mdogo kufunga mabao mawili kwenye Kombe…

Read More

WATATU SIMBA WAWANIA TUZO YA MCHEZAJI BORA

KWENYE orodha ya nyota watatu wa Simba ambao wameingia fainali ya kuwania mchezaji bora chaguo la mashabiki ndani ya Novemba kiungo Mzamiru Yassin jina lake limepenya pia. Wengine wawili ambao anapambana nao ni pamoja na Shomari Kapombe ambaye ni beki wa kazi pamoja na kiungo mgumu Sadio Kanoute. Kikosi hicho jana Novemba 27,2022 kilikuwa na…

Read More

SUALA LA KUSHUKA DARAJA LIPO, TIMU ZIKUMBUKE HILI

MWANZO siku zote ni wakati wa kutengeneza mwisho kwenye mpango kazi ambao unafanyika hivyo kwa sasa ni maandalizi kwa ajili ya kukamilisha ligi msimu wa 2022/23. Tunaona kuna timu ambazo ushindani wake umekuwa ni wa kawaida wakiamini kwamba wataendelea kucheza ligi hii muda wote hata msimu ukiisha. Kwa wale ambao wanafikiria hivyo kwa sasa ni…

Read More

AZAM FC YAITULIZA COASTAL UNION

MABAO matano yamekusanywa kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya wenyeji Azam FC na Coastal Union. Baada ya dakika 90, ubao wa Uwanja wa Azam Complex ulisoma Azam FC 3-2 Coastal Union. Coastal Union walianza kupata bao la utangulizi dakika ya 14 kupitia kwa Betrand Ngafei lilidumu mpaka muda wa mapumziko. Kipindi cha pili…

Read More