SABABU ZA MUDA WA NYONGEZA KUWA KUBWA QATAR

TOKEA kuanza kwa michuano ya World Cup nchini Qatar Novemba 20,2022 kumekuwa na maswali mengi kwa wadau wa soka kutokana na ongezeko kubwa la muda wa ziada. Hii imetokana na mabadiliko waliyofanya Fifa katika muda huo. Sasa wanataka mpira uchezwe na dakika 90 zote zitumike. Maana yake ule muda wa kutazama VAR, muda wa mchezaji…

Read More

YANGA YAITULIZA DODOMA JIJI, MAYELE YULEYULE

YANGA imesepa na pointi tatu jumlajumla kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara wakiwa ugenini. Ubao wa Uwaja wa Liti umesoma Dodoma Jiji 0-2 Yanga na mabao yote yakifungwa na mshambuliaji Fiston Mayele. Ni Mayele alianza kupachika bao la kuongoza kipindi cha kwanza dakika ya 41 akiwa ndani ya 18 na kuwafanya Dodoma Jiji kuwa nyuma…

Read More

ARGENTINA YAUSHANGAZA ULIMWENGU IKICHAPWA

ULIMWENGU wa mpira umeshutshwa na matokeo ya leo kwenye mchezo wa Kombe la Dunia katika kundi C. Wakati wengi wakiwapa matumaini Argentina yenye Lionel Messi kushinda ngoma iligeuka na wakapoteza mchezo huo. Dakika 90 ubao wa Uwanja wa Lusail umesoma Argentina 1-2 Saudi Arabia ambao wamesepa na pointi tatu mazima. Ni bao la Lionel Messi…

Read More

DODOMA JIJI 0-1 YANGA, UWANJA WA LITI

IKIWA ugenini mbele ya Dodoma Jiji kwenye mchezo wa ligi Uwanja wa Liti, Yanga inaongoza kwa bao 1-0. Bao pekee la uongozi ni mali ya Fiston Mayele ambaye amepachika bao hilo dakika ya 41 ya mchezo. Pasi ya kwanza ya kiungo Tuisila Kisinda leo imeleta bao kwenye mchezo huo wenye ushindani mkubwa. Dodoma Jiji wanakwenda…

Read More

HAWA HAPA YANGA KUIKOSA DODOMA JIJI

MASTAA kadhaa wa Yanga leo Novemba 22 wanatarajia kukosekana kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Dodoma Jiji unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Liti. Miongoni mwa nyota hao ni Aziz KI ambaye ni kiungo anayetumikia adhabu ya kufungiwa mechi tatu. Diarra Djigui kipa namba moja wa timu hiyo, Gael Bigirimana kiungo wa timu hiyo hawatakuwa…

Read More

DODOMA JIJI WATAMBA KUWATIBULIA YANGA

UONGOZI wa Dodoma Jiji umetamba kuifunga Yanga kwenye mchezo wa ligi na kuvunja rekodi ya timu hiyo kutofungwa ndani ya ligi. Yanga chini ya Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi imekuwa na mwendo mzuri na mechi zake za ligi haijapoteza tangu msimu wa 2021/22 ilipofungwa bao 1-0 dhidi ya Azam FC. Ofisa Habari wa Dodoma Jiji, Moses…

Read More

SENEGAL WAANZA KWA KICHAPO

 KUTOKA Afrika Senegal ilikwama kupata ushindi kwenye mchezo wa hatua ya makundi ya Kombe la Dunia baada ya kupoteza mchezo wa kwanza. Baada ya dakika 90 kukamilika ubao wa Uwanja wa Al Thumama ulisoma Senegal 0-2 Uholanzi ambao walisepa na pointi tatu mazima. Bila Sadio Mane kwenye mchezo huo dakika 45 za awali Senegal walipambana…

Read More

BALE AWATIBULIA MAREKANI KOMBE LA DUNIA

BAO la nahodha wa timu ya taifa ya Wales, Gareth Bale dakika ya 82 kwa mkwaju wa penalti lilitibua hesabu za ushindi kwa timu ya taifa ya Marekani. Katika mchezo huo uliochezwa Uwanja wa Al Rayyan ni kipindi cha kwanza Marekani ilipata bao la mapema ambalo liliwapa uongozi. Dakika ya 36 staa wao Timothy Weah…

Read More

GEITA GOLD YAIPIGIA HESABU IHEFU

BAADA ya kucheza mechi 13 Geita Gold yenye Said Ntibanzokiza ambaye ni kiungo mshambuliaji imekusanya pointi 18. Kwenye msimamo ipo nafasi ya tano na ni mechi nne imeshinda imeambulia kichapo kwenye mechi tatu na sare kibindoni ni sita. Mchezo wao ujao ni dhidi ya Ihefu ambao unatarajiwa kuchezwa Novemba 25. Geita Gold watakuwa nyumbani pale…

Read More