VIDEO:KICHUYA:SIKUFELI,NAWAPENDA SIMBA
KIUNGO Shiza Kichuya ameweka wazi kuwa mashabiki bado wanaamini kuwa bado ni mchezaji wa timu hiyo licha ya kwamba hayupo ndani ya kikosi hicho na hana ugomvi na Simba kwa kuwa hakutoka kwa mabaya
KIUNGO Shiza Kichuya ameweka wazi kuwa mashabiki bado wanaamini kuwa bado ni mchezaji wa timu hiyo licha ya kwamba hayupo ndani ya kikosi hicho na hana ugomvi na Simba kwa kuwa hakutoka kwa mabaya
KUELEKEA mchezo wa Ligi Kuu Bara kesho kati ya Simba v Ruvu Shooting, Juma Mgunda Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa maandalizi yapo sawa huku kiungo Clatous Chama akiwa ni miongoni mwa nyota ambao wapo tayari kwa mchezo huo unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa
KICHAPO cha mabao 4-1 ambacho walikipata Singida Big Stars dhidi ya Yanga Uwanja wa Mkapa kimemfanya Kocha Mkuu wa Singida Big Stars, Hans Pluijm kukiri kuwa ilikuwa siku mbaya kazini
KIUNGO wa Simba Peter Banda ataukosa mchezo wa kesho wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Ruvu Shooting kwa kuwa bado hajawa fiti. Kwa mujibu wa Kocha Mkuu wa Simba, Juma Mgunda ameweka wazi kuwa maandalizi ya mchezo huo yamekamilika na wanatambua wanakwenda kukutana na timu ngumu. “Kila kitu kuhusu mchezo wetu dhidi ya Ruvu Shooting…
AHMED Ally,Meneja wa Habari na Mawasiliano Simba amebainisha kuwa kwa sasa wapo kwenye maboresho ya benchi la ufundi wa timu hiyo
KIBWANA Shomari beki wa Yanga ameweka wazi kuwa alikuwa na nia ya kufunga jambo ambalo lilitokea baada ya dakika 90 kumeguka Uwanja wa Mkapa. Novemba 17,2022 Yanga iliibuka na ushindi wa mabao 4-1 Singida Big Stars na kuwafanya wasepe na pointi tatu mazima. Watupiaji walikuwa ni wawili ambapo Fiston Mayele alitupia mabao matatu na kusepa…
KLABU ya KMC, alimaarufu kama “KINO BOYS”, kwa kushirikiana na Mdhamini mkuu wa klabu hiyo kampuni ya Meridianbet wametoa msaada wa vifaa vya ujenzi wa kituo cha polisi, kilichopo Mtaa wa Tegeta A ambacho kinaendelea kujengwa ili kutoa msaada wa kiusalama kwa eneo hilo. Vifaa hivyo vilivyotolewa ni mifuko ya Saruji “Cement” zaidi 50 pamoja…