
YANGA YAIPIGA 4G SINGIDA BIG STARS
FISTON Mayele nyota wa Yanga amefikisha mabao 6 kibindoni baada ya leo kufunga hat trick kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Singida Big Stars. Dakika 90 zimekamilika kwa ubao wa Uwanja wa Mkapa kusoma Yanga 4-1 Singida Big Stars ikiwa ni ushindi mkubwa kwa Yanga kuupata wakiwa nyumbani msimu huu. Bao lingine la…