
NEEMA NYINGINE YANGA YALETWA NA UNICEF
SHIRIKA la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya Watoto Duniani (Unicef) wameingia mkataba wa kufanya kazi na Klabu ya Yanga kwa muda wa miezi sita huku wakiahidi mengi mazuri. Yanga wameingia mkataba huo hivi karibuni baada ya pande mbili kufikia makubaliano mazuri kati ya shirika hilo na klabu hiyo. Rais wa Yanga, Injinia Hersi Said…