
SAUTI: ZIJUE SIRI TATU ZA SIMBA KUIFUNGA de AGOSTO, ANGOLA
SIMBA ugenini dhidi ya de Agosto ilipata ushindi wa mabao 3-1 ikiwa chini ya Kocha Mkuu, Juma Mgunda, zijue siri tatu za ushindi Angola
SIMBA ugenini dhidi ya de Agosto ilipata ushindi wa mabao 3-1 ikiwa chini ya Kocha Mkuu, Juma Mgunda, zijue siri tatu za ushindi Angola
KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi amewatuliza Yanga kwa kubainisha kuwa bado wana nafasi ya kufuzu hatua ya makundi kwa kuwa wanajipanga kuelekea mchezo wa marudio kupata ushindi
MCHAMBUZI Ambangile ameweka wazi kuwa Simba wametoa somo kwa watani zao wa jadi kimataifa pia amemzunguzia Juma Mgunda
AHMED ameweka wazi kuwa faida ya bao ambalo wamepata Al Hilal Uwanja wa Mkapa unawapa fursa ya kuweza kusonga mbele ikiwa matokeo yatabaki Yanga 1-1 Al Hilal kimataifa
AL Hilal watakoma, mabosi Yanga wavamia kambini, Moses Phiri atangaza hali ya hatari CAF ndani ya Championi Jumatano
BALAA kwelikweli ndani ya Liverpool ambayo mwendo wake ni mbovu msimu wa 2022/23. Kocha Jurgen Klopp anazidi kupasua kichwa kutokana na taarifa mbaya kuhusu mshambuliaji wake Luis Diaz kwamba atamkosa mpaka mwisho wa Kombe la Dunia. Hayo yote yametokana na maumivu ya goti aliyopata wakati Liverpool ilipoambulia kipigo cha mabao 3-2 dhidi ya Arsenal, Jumapili…
MZEE wa saluti hana ushikaji na makipa ndani ya Ligi Kuu Bara pale anapopata nafasi kwa kuwa amekuwa akiwadhibu namnaanavyotaka iwe nje ya 18 ama ndani ya 18. Ni Moses Phiri raia wa Zambia ambaye ni namba moja kwa utupiaji kwenye kikosi hicho akiwa ametupia mabao manne, tupo naye kwenye mwendo wa data namna hii:-…
MELIS Medo, ametangazwa kuwa Kocha Mkuu wa Klabu ya Dodoma Jiji kwa msimu wa 2022/23. Kocha huyo anachukua mikoba ya Masoud Djuma ambaye alifikia makubaliano ya kuachana na timu hiyo Oktoba 10,2022. Sababu kubwa ya Djuma ambaye aliwahi kuwa kocha msaidizi ndani ya Simba ni kutokana na mwendo mbovu wa timu hiyo msimu wa 2022/23…
NYOTA wa Manchester City, Erling Haaland ameendelea kuweka rekodi katika safari yake ya soka akifanikiwa kufunga mabao zaidi ya 20 kwa misimu minne mfululizo. Haaland ameendelea kuwa tishio ndani ya Premier League msimu huu ikiwa ni mara ya kwanza kwa nyota huyo kucheza hapo. Ndani ya Premier League, Haaland amefunga mabao 15, ambapo amefunga katika…
KIUNGO wa Brighton Mzambia, Enock Mwepu amelazimika kustaafu soka akiwa na miaka 24 baada ya kubainika kuwa ana matatizo ya moyo. Mwepu alijiunga na Brighton akitokea Red Bul Salzburg msimu uliopita kwa dau la pauni milioni 18 na msimu huu amecheza mechi sita za Premier. Tatizo lake lilianza kubainika wakati wa mapumziko ya timu za…
WAKIWA kwenye maandalizi ya mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Hilal, Jumapili, mabosi Yanga wanatajwa kuongeza dau ili wachezaji kuongeza nguvu kusaka ushindi
JURGEN Klopp, Kocha Mkuu wa Liverpool amemshutumu Kocha Mkuu wa Arsenal, Mikel Arteta kwa kumpa presha mwamuzi wa mchezo huo Michael Oliver. Jumapili Arsenal ilifanikiwa kushinda mabao 3-2 dhidi ya Liverpool kwenye mchezo wa Ligi Kuu England Uwanja wa Emirates. Penalti ya staa Bukayo Saka ambayo ilizua utata na ilileta bao la tatu kwa Arsenal…
VIGOGO wawili Yanga waongeza nguvu Sudan, ili kuifunga Al Hilal, Simba yaipa somo Yanga ndani ya Spoti Xtra Jumanne.
BAADA ya ubao wa Uwanja wa Mkapa kusoma Yanga 1-1 Al Hilal mastaa wa Yanga wamerejea kambini na kuanza mazoezi kwa ajili ya mchezo wao wa marudio. Mpango mpya kwa sasa ni kuwarejesha mastaa wote kwenye ubora wao na kufanyia kazi makosa ambayo walifanya mchezo uliopita Oktoba 8,2022. Jumapili ya Oktoba 16,2022 mchezo huo unatarajiwa…
WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye Kombe la Shirikisho Azam FC baada ya kete yao ya kwanza kupoteza ugenini wanatarajiwa kurejea leo kuanza kujipanga upya. Juzi Azam FC inayonolewa na Kocha Mkuu, Mfaransa Denis Lavagne ilishuhudia ubao wa Uwanja wa Martrys of February ukisoma Al Akhadar 3-0 Azam FC nchini Libya. Azam FC ina kibarua cha kusaka…
JANA kikosi cha Simba kiliibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya de Agosto kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hii ni simulizi namna ilivyokuwa
Usiku wa deni hakawii kukucha, yes ukisema hivyo utakuwa hujakosea kabisa ni usiku wa deni kwenye Ligi ya Mabingwa wiki hii, ni mechi za marudiano kutafuta kufuzu hatua ya robo fainali. Mbungi litaanza usiku wa Jumanne ambapo macho ya wengi yatakuwa kwenye runinga, ni pale ambapo AC Milan watakapo wakaribisha Chelsea kutoka London, kwenye…