LIVERPOOL WAMECHANA MKEKA

TAIWO Awoniyi amezima furaha ya mashabiki wa Liverpool na kuwafanya Nottm Forest kubaki na pointi tatu wakiwa nyumbani. Kwenye mchezo wa Ligi Kuu England, bao la ushindi limefungwa dakika ya 55kipindi cha pili jitihada za Liverpool kusaka usawa na ushindi zikakutana na uimara wa kipa wa wapinzani wao. Ni mashuti 10 Nottm walipiga na 7…

Read More

ZIMBWE:TUTACHEZA KWA USHIRIKIANO, MASHABIKI WAJITOKEZE

MOHAMED Hussein Zimbwe Jr, nahodha wa Simba amesema kuwa hawataangalia mchezaji mmoja kwenye kukaba bali kila mchezaji atatimiza majukumu yake kwa ushirikiano. Akijibu swali la mwandishi wa habari alipoulizwa kuhusu safu ya ulinzi kumtolea macho mshambuliaji Fiston Mayele wanapokutana amesema kuwa wanafanya kazi kwa kushirikiana. Kesho Oktoba 23,2022 Simba inatarajiwa kumenyana na Yanga kwenye mchezo…

Read More

IKAWE KARIAKOO DABI YENYE UTULIVU MKUBWA

WAKATI mwingine furaha huwa inabebwa na maumivu jambo ambalo linafanya maisha yaendelee kuwa maisha hakuna namna ni hali halisi ilivyo. Ikiwa upo kwenye mazingira mazuri basi huo uzuri acha uendelee kunogeshwa na yale ambayo yatatokea ndani ya Uwanja wa Mkapa kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Yanga dhidi ya Simba. Hakika unatarajiwa kuwa…

Read More

HUYU HAPA AMEANDALIWA NA SIMBA KUIMALIZA YANGA

MENEJA wa Habari wa Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally amesema wamempa jukumu mshambuliaji wao tegemeo Mzambia Moses Phiri la kuwalipua watani wao wa jadi, Yanga. Hiyo ni katika kuelekea mchezo wa raundi ya Kwanza ya Ligi Kuu Bara ambao utapigwa kesho Jumapili kwenye Uwanja wa Mkapa jijini Dar. Mchezo huo muhimu kwa kila timu, Yanga…

Read More

WACHEZAJI YANGA WAMETOA AHADI HII KWA MABOSI

WACHEZAJI wa Yanga kwa pamoja wamewaahidi viongozi wa timu hiyo, kupambana kwa dakika 90 ili kuhakikisha wanarejresha imani ya mashabiki katika Kariakoo Dabi. Dabi hiyo inatarajiwa kuzikutanisha Simba dhidi ya Yanga katika mchezo wa raundi ya kwanza ya Ligi Kuu Bara utakaochezwa Jumapili hii kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar. Ni Jumatatu timu ilirejea kambini Kijiji…

Read More