MAN U YAICHAPA TOTTENHAM
 MANCHESTER United wanatamba na ushindi wa mabao 2-0 waliopata dhidi ya Tottenham na kusepa na pointi tatu muhimu. Mchezo huo mkali ulichezwa Uwanja wa Old Trafford, mabao ya Fred dakika 47 na Bruno Fernandes dakika ya 69. Ni jumla ya mashuti 28 Man U walipiga huku Tottenham wakipiga mashuti 9. Kati ya hayo United ni…