>

KARIAKOO DABI IWE YA KIUNGWANA

ULIMWENGU wa mpira unasubiri kuona mpira wa kiungwana mbele ya watani wa jadi Simba na Yanga ambao unatarajiwa kuchezwa Oktoba 23,2022 Uwanja wa Mkapa. Mchezo wa kwanza kwa msimu wa 2022/23 na kila timu imetoka kushiriki Ligi ya Mabingwa Afrika hapa tunaamini kwamba kila mchezaji ana kitu cha kufanya. Wachezaji kwenye mechi za hivi karibuni…

Read More

MAYELE ANAFUKUZIA KIATU CHA UFUNGAJI BORA

FISTON Mayele ametupia mabao matatu ndani ya ligi akiwa sawa na mzawa Feisal Salum. Nyota huyo anawania kiatu cha ufungaji bora ambacho alipishana nacho msimu wa 2021/22 kilipobebwa na mzawa George Mpole. Mayele alitupia mabao 16 kwenye ligi msimu uliopita huku Mpole akitupia mabao 17 na wote walitoa pasi nne za mabao. Ni dakika ya…

Read More

JOE GOMEZ KUITWA TIMU YA TAIFA

JOE Gomez huenda akaitwa timu ya taifa ya England kwa ajili ya Kombe la Dunia mwezi ujao. Beki huyo wa Liverpool alikuwa kwenye ubora wakati timu hiyo ikiichapa Man City bao 1-0 kwenye mchezo wa Ligi Kuu England. Kwa mujibu wa Daily Mail inaaminika kwamba ataitwa katika kikosi cha wachezaji 26 na kocha Gareth Southgate…

Read More

BUKU TANO TU KUWAONA AZIZ KI, PHIRI NA MAYELE

KUELEKEA mchezo wa Ligi Kuu Bara wa Kariakoo Dabi kati ya Yanga v Simba buku tano tu inatosha kuona dakika 90 za jasho. oKTOBA 23,2022 mchezo huo unatarajiwa kuchezwa kwa kila timu kupambania pointi tatu. Yanga ambao ni wenyeji wa mchezo huu tayari wamebainisha viingilio kwa ajili ya mashabiki kuona burudani itakayotolewa na mastaa wao…

Read More

JUMA MGUNDA HESABU ZAKE KWA WANANCHI

JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Simba ameweka wazi kuwa kwa sasa akili zake ni kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga. Mgunda anafanya kazi kwa ushirikiano na Seleman Matola wote wakiwa ni wazawa wamefanikiwa kukiongoza kikosi hicho kutinga hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika. Oktoba 23,2022 Uwanja wa Mkapa mchezo wa Kariakoo…

Read More