MCHEZO wa Ligi ya Mabingwa Afrika ni mapumziko.
Al Hilal wanaongoza bao 1-0 Yanga ikiwa ni mchezo wa marudiano baada ya ule wa kwanza uliochezwa Uwanja wa Mkapa kuwa Yanga 1-1 Al Hilal.
Mtupiaji niMohamed Yusuph dakika ya 3 wakiwa kwenye uwanja wao wa nyumbani.
Bado wawakilishi wa Tanzania Yanga wana dakika 45 za kujiuliza ili kusonga mbele hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika.