>

HAWA HAPA MASTAA YANGA WATAKAOIBUKIA SUDAN

KIKOSI cha Yanga alfajiri ya Oktoba 15,2022 wanatarajia kukwea pipa kuelekea nchini Sudan kwa ajili kuwakabili Al Hilal, Jumapili. Hiki hapa kikosi kazi cha Yanga kinachotarajia kuibukia nchini Sudan:- Makipa ni Aboutwalib Mshery Djigui Diarra Eric Johora Mabeki Bakari Mwamnyeto Yannick Bangala Dickson Job Ibrahm Abdullah, (Bacca) Djuma Shaban Kibwana Shomari Mutambala Lomalisa David Bryson…

Read More

MINZIRO AFUNGUKIA KUPATA POINTI MOJA UGENINI

KOCHA Mkuu wa Geita Gold, Felix Minziro amesema kuwa pointi moja ambayo wameipata ugenini ni muhimu kwao kwa kuwa wanazidi kujiamini kuelekea mechi zijazo. Ikiwa Uwanja wa Mkwakwani, Geita Gold ilishuhudia ubao ukisoma Coastal Union 0-0 Geita Gold baada ya dakika 90 kukamilika. Minziro amesema kuwa wanatambua walikuwa wanahitaji pointi tatu muhimu lakini wamepata moja…

Read More

USHINDI WA MABAO 7-1 WAIPA JEURI LIVERPOOL

BAADA ya kichapo cha mabao 7-1 walichokitoa Liverpool kwa Rangers katika Ligi ya Mabingwa Ulaya juzi kimemfanya Jurgen Klopp aamini kwamba watakuwa wanajiamini kuelekea mchezo wao dhidi ya Man City. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Jumapili unasubiriwa kwa shauku kubwa na mashabiki wa mpira kutokana na ushindani wa timu hizo mbili. Ni mabao matatu ambayo yalifungwa…

Read More

FISTON MAYELE KIMATAIFA KATUPIA, KAZI NYINGINE INAFUATA

MSHAMBULIAJI Fiston Mayele kwenye anga za kimataifa ni mabao 7 katupia katika mechi tatu za ushindani ambazo Yanga imecheza. Mayele amefunga mabao hayo kwenye mchezo dhidi ya Zalan FC ya Sudan katika mechi mbili ni mabao sita aliwafunga, mchezo wa kwanza alifunga mabao matatu na ule wa pili alifunga mabao matatu. Yanga ilitinga raundi ya…

Read More

PHIRI MTAMBO WA MABAO SIMBA KIMATAIFA

STAA wa Simba Moses Phiri kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika katika mechi tatu kacheka na nyavu mara nne wakati timu hiyo ikipeperusha bendera ya Tanzania kimataifa. Alifunga kwenye mchezo dhidi ya Big Bullets kwenye hatua ya Kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika mchezo wa kwanza alitupia bao moja ugenini na mchezo wa pili Uwanja wa Mkapa…

Read More