HIZI HAPA DAKIKA ZA PHIRI NA MABAO YAKE KWENYE LIGI
MZEE wa saluti hana ushikaji na makipa ndani ya Ligi Kuu Bara pale anapopata nafasi kwa kuwa amekuwa akiwadhibu namnaanavyotaka iwe nje ya 18 ama ndani ya 18. Ni Moses Phiri raia wa Zambia ambaye ni namba moja kwa utupiaji kwenye kikosi hicho akiwa ametupia mabao manne, tupo naye kwenye mwendo wa data namna hii:-…